Posts

JINSI YA KUZUIA MIMBA ZISIZOTARAJIWA

Image
Kuna njia nyingi za kuzuia mimba zisizojarajiwa mfano matumizi ya condom , vipandikizi na njia nyingine nyingi. Ila leo nmewaletea njii hii ya kalenda ambayo ni asilia na rahisi lakini pia salama kama itafanyika kwa ufasaha. Mambo ya kuzingatia katika njii hii ni kwamba unachotakiwa kufanya ni kuzijua na kuzielewa siku zako za mzunguko ( menstration circle ).     Mara nyingi wasichana wengi huwa na mzunguko wa kuanzia siku 28-31.   Siku unayoingia mwezini (period) hiyo ndio siku ya kwanza kwenye mzunguko wako. Na kuanzia hapo ndo unaanza kuhesabu moja. Na wasichana wabaingia hedhi kuanzia siku 3-5.  Kwahiyo siku ya 1 unayoanza hedhi mpaka siku ya 5 tangu ulipoingia hedhi haushauriwi kufanya mapenzi kwa sababu za usafi. Baada ya hapo siku ya 6 tangu uingie hedhi mpaka ya 10 unaweza kufanya mapenzi bila kutumia kinga wala kizuizi chochote na usipate mimba Siku ya 11 mpaka ya 18 tokea uingie mwezini , hizi hujulikana kama SIKU ZA HATARI ambazo huwa na ...

IJUE SABABU YA FURAHA KATIKA MAISHA YAKO.

Image
FURAHA YA MAISHA YAKO IKO MIKONONI MWAKO. Katika maisha yako mtu pekee wakukufanya uwe mtu wa furaha ni wewe mwenyewe. Hivyo usisubiri furaha yako itokane na mtu au watu wengine ukifanya hivyo utakua mtu wa huzuni na kulia dakika zote. Wekeza katika maisha yako mwenyewe , jiamini kuwa unaweza kufanya vyema kuliko mtu mwingine yeyote.