IJUE SABABU YA FURAHA KATIKA MAISHA YAKO.
FURAHA YA MAISHA YAKO IKO MIKONONI MWAKO.
Katika maisha yako mtu pekee wakukufanya uwe mtu wa furaha ni wewe mwenyewe. Hivyo usisubiri furaha yako itokane na mtu au watu wengine ukifanya hivyo utakua mtu wa huzuni na kulia dakika zote.
Wekeza katika maisha yako mwenyewe , jiamini kuwa unaweza kufanya vyema kuliko mtu mwingine yeyote.

For sure a change is made by an individual as himself or herself
ReplyDeleteOoops O.M.G brow u said
ReplyDeleteAnd I got it
Bless
Amen be blessed too
DeleteYour real tryin keep it up....
ReplyDeleteWe never won if we never tried💪
DeleteIt's matter of self awareness ......we do believe in dreams but let's start doing not wishing 💪
ReplyDelete