Kuna njia nyingi za kuzuia mimba zisizojarajiwa mfano matumizi ya condom , vipandikizi na njia nyingine nyingi. Ila leo nmewaletea njii hii ya kalenda ambayo ni asilia na rahisi lakini pia salama kama itafanyika kwa ufasaha. Mambo ya kuzingatia katika njii hii ni kwamba unachotakiwa kufanya ni kuzijua na kuzielewa siku zako za mzunguko ( menstration circle ). Mara nyingi wasichana wengi huwa na mzunguko wa kuanzia siku 28-31. Siku unayoingia mwezini (period) hiyo ndio siku ya kwanza kwenye mzunguko wako. Na kuanzia hapo ndo unaanza kuhesabu moja. Na wasichana wabaingia hedhi kuanzia siku 3-5. Kwahiyo siku ya 1 unayoanza hedhi mpaka siku ya 5 tangu ulipoingia hedhi haushauriwi kufanya mapenzi kwa sababu za usafi. Baada ya hapo siku ya 6 tangu uingie hedhi mpaka ya 10 unaweza kufanya mapenzi bila kutumia kinga wala kizuizi chochote na usipate mimba Siku ya 11 mpaka ya 18 tokea uingie mwezini , hizi hujulikana kama SIKU ZA HATARI ambazo huwa na ...